Nahodha na kocha wa zamani wa Nigeria Stephen Keshi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54 kwa kichomi cha moyo katika masaa ya Jumatano mapema wakati alipokuwa akijiandaa kurudi nyumbani kwake nchini Marekani.

Pamoja na meneja wa zamani wa Misri Mahmoud El-Gohary, Keshi ni mojawapo wa watu wawili tu walioweza kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika kama mchezaji na kocha.

Hapa jinsi watu walijibu kuhusu habari hii ya kusikitisha kwa wanasoka wa Afrika: